GET /api/v0.1/hansard/entries/874020/?format=api
HTTP 200 OK
Allow: GET, PUT, PATCH, DELETE, HEAD, OPTIONS
Content-Type: application/json
Vary: Accept
{
"id": 874020,
"url": "https://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/874020/?format=api",
"text_counter": 303,
"type": "speech",
"speaker_name": "Nakuru CWR, JP",
"speaker_title": "Hon. (Ms.) Liza Chelule",
"speaker": {
"id": 13126,
"legal_name": "Liza Chelule",
"slug": "liza-chelule"
},
"content": " Mheshimiwa Naibu wa Spika wa Muda, sisomi lakini kuna vidokezo ambavyo ninatoa. Ni vile nimeshika karatasi mkononi, na ukisema niiweke chini, nitafanya hivyo lakini inanisaidia. Nataka kusema kamati ya afya katika Bunge hili, tafadhali, badala kuenda kujifunza mambo ya afya, kuzunguka katika hospitali za nchi nyingine kujifunza mambo yanayohusu afya, ni muhimu watembee Kenya."
}