GET /api/v0.1/hansard/entries/874021/?format=api
HTTP 200 OK
Allow: GET, PUT, PATCH, DELETE, HEAD, OPTIONS
Content-Type: application/json
Vary: Accept
{
"id": 874021,
"url": "https://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/874021/?format=api",
"text_counter": 304,
"type": "speech",
"speaker_name": "Nakuru CWR, JP",
"speaker_title": "Hon. (Ms.) Liza Chelule",
"speaker": {
"id": 13126,
"legal_name": "Liza Chelule",
"slug": "liza-chelule"
},
"content": "Ni aibu sana usikie mwananchi wa Kenya amechukua hatua ya kuiba mtoto wake akitumia mfuko. Hiyo ni aibu kubwa sana sio kwa mzazi pekee bali hata kwa sisi wote viongozi. Kwa hivyo, kama tungekuwa na utaratibu wa vile tunaweza kuwa na wanakamati ambao wanaangalia Wakenya ambao hawawezi kulipa ada zao kwa sababu hawana pesa na The electronic version of the Official Hansard Report is for information purposes only. Acertified version of this Report can be obtained from the Hansard Editor."
}