GET /api/v0.1/hansard/entries/874022/?format=api
HTTP 200 OK
Allow: GET, PUT, PATCH, DELETE, HEAD, OPTIONS
Content-Type: application/json
Vary: Accept

{
    "id": 874022,
    "url": "https://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/874022/?format=api",
    "text_counter": 305,
    "type": "speech",
    "speaker_name": "Nakuru CWR, JP",
    "speaker_title": "Hon. (Ms.) Liza Chelule",
    "speaker": {
        "id": 13126,
        "legal_name": "Liza Chelule",
        "slug": "liza-chelule"
    },
    "content": "wamempoteza mgonjwa wao ama mwingine amepona na hawezi kuondoka kwa hospitali kwa kukosa pesa... Kwa hivyo, ni jukumu letu sisi wote kuangalia kwamba wakati Hoja kama hii imeletwa katika Bunge hili, itekelezwe. Ninaomba Kamati Tekelezi iangalie kwa umakini. Kuongea na kuwakilisha shida za wananchi Bungeni ni tofauti na kutekeleza."
}