GET /api/v0.1/hansard/entries/874023/?format=api
HTTP 200 OK
Allow: GET, PUT, PATCH, DELETE, HEAD, OPTIONS
Content-Type: application/json
Vary: Accept

{
    "id": 874023,
    "url": "https://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/874023/?format=api",
    "text_counter": 306,
    "type": "speech",
    "speaker_name": "Nakuru CWR, JP",
    "speaker_title": "Hon. (Ms.) Liza Chelule",
    "speaker": {
        "id": 13126,
        "legal_name": "Liza Chelule",
        "slug": "liza-chelule"
    },
    "content": "Mambo mengi yameongewa na Wabunge wenzangu ambao nataka kuwapongeza sana lakini shida ni vile itatekelezwa. Kwa hivyo, Bunge la Taifa tuko na nguvu na uwezo wa kupitisha sheria ambayo inaweza boresha afya katika nchi yetu ya Kenya."
}