GET /api/v0.1/hansard/entries/875480/?format=api
HTTP 200 OK
Allow: GET, PUT, PATCH, DELETE, HEAD, OPTIONS
Content-Type: application/json
Vary: Accept

{
    "id": 875480,
    "url": "https://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/875480/?format=api",
    "text_counter": 224,
    "type": "speech",
    "speaker_name": "Taveta, JP",
    "speaker_title": "Hon. (Dr.) Naomi Shaban",
    "speaker": {
        "id": 139,
        "legal_name": "Naomi Namsi Shaban",
        "slug": "naomi-shaban"
    },
    "content": "Kama kuna jambo ambalo Bunge la 12 limeweza kufanya ni kuwa na kamati hii ambayo inaangalia matumizi ya fedha zilizomo kwenye Hazina Maalum humu nchini. Kazi ya Hazina ya Pesa ya Maeneo Bunge ilianza miaka kadhaa iliyopita. Wakati wa Bunge la Tisa tulipata kima cha Ksh6 milioni. Tangu wakati huo hadi sasa tumerekebisha sheria mpaka sasa inaambatana na Katiba ambayo ilianza kutumika mwaka wa 2010, mwezi wa nane. The electronic version of the Official Hansard Report is for information purposes only. Acertified version of this Report can be obtained from the Hansard Editor."
}