GET /api/v0.1/hansard/entries/875481/?format=api
HTTP 200 OK
Allow: GET, PUT, PATCH, DELETE, HEAD, OPTIONS
Content-Type: application/json
Vary: Accept

{
    "id": 875481,
    "url": "https://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/875481/?format=api",
    "text_counter": 225,
    "type": "speech",
    "speaker_name": "Taveta, JP",
    "speaker_title": "Hon. (Dr.) Naomi Shaban",
    "speaker": {
        "id": 139,
        "legal_name": "Naomi Namsi Shaban",
        "slug": "naomi-shaban"
    },
    "content": "Pesa za hazina hii zinatumika kimaendeleo. Tulipoaanza kuzitumia, maeneo mengi hayakuwa na shule, maabara na zahanati za kusaidia wananchi. Pesa hizi zimewaezesha wengi kuona maendeleo mashinani. Zimewawezesha wananchi kusomesha watoto wao."
}