GET /api/v0.1/hansard/entries/875601/?format=api
HTTP 200 OK
Allow: GET, PUT, PATCH, DELETE, HEAD, OPTIONS
Content-Type: application/json
Vary: Accept

{
    "id": 875601,
    "url": "https://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/875601/?format=api",
    "text_counter": 345,
    "type": "speech",
    "speaker_name": "Bahati, JP",
    "speaker_title": "Hon. Onesmas Ngunjiri",
    "speaker": {
        "id": 1179,
        "legal_name": "Onesmas Kimani Ngunjiri",
        "slug": "onesmas-kimani-ngunjiri"
    },
    "content": " Asante sana, Mheshimiwa Naibu Spika wa Muda. Ninamuunga mkono Mbunge ambaye alikuwa mgeni wangu wa heshima. Si mara ya kwanza Mhe. Sankok amekwenda kwenye eneo Bunge langu na kufanya kazi nzuri. Alikuwa mgeni wangu wa heshima nilipokuwa nikizindua kitabu kuhusu muhula wangu wa pili. Kama alivyosema, ni kweli kwamba hazina ya NG-CDF inaweza kufanya kazi vizuri sana iwapo itakua na mikakati ambayo inatakikana. Ninamshukuru kwa kuitikia mwito wa kuwa mgeni wangu wa heshima. Alikuja wakati mlemavu mmoja ambaye alikuwa mwalimu alikuwa amekatazwa kushikilia kuwa mkubwa wa shule kwa sababu yeye ni kiwete na akamtetea. Kwa hiyvo, namshukuru. Yeye ni rafiki yangu wa karibu katika kazi ambayo ninafanya."
}