GET /api/v0.1/hansard/entries/875602/?format=api
HTTP 200 OK
Allow: GET, PUT, PATCH, DELETE, HEAD, OPTIONS
Content-Type: application/json
Vary: Accept

{
    "id": 875602,
    "url": "https://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/875602/?format=api",
    "text_counter": 346,
    "type": "speech",
    "speaker_name": "Bahati, JP",
    "speaker_title": "Hon. Onesmas Ngunjiri",
    "speaker": {
        "id": 1179,
        "legal_name": "Onesmas Kimani Ngunjiri",
        "slug": "onesmas-kimani-ngunjiri"
    },
    "content": "Kuna mambo nyeti yanapaswa kuangaliwa tukizungumzia mambo ya NG-CDF. Tunapaswa kuangalia shinda nyingi zinatoka wapi. Serikali kuu lazima ielewe kitu kimoja: Waziri anasema ni lazima kila mtoto aende shule. Ni kweli na ni haki kwa kila mtoto kuenda The electronic version of the Official Hansard Report is for information purposes only. Acertified version of this Report can be obtained from the Hansard Editor."
}