GET /api/v0.1/hansard/entries/875603/?format=api
HTTP 200 OK
Allow: GET, PUT, PATCH, DELETE, HEAD, OPTIONS
Content-Type: application/json
Vary: Accept
{
"id": 875603,
"url": "https://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/875603/?format=api",
"text_counter": 347,
"type": "speech",
"speaker_name": "Bahati, JP",
"speaker_title": "Hon. Onesmas Ngunjiri",
"speaker": {
"id": 1179,
"legal_name": "Onesmas Kimani Ngunjiri",
"slug": "onesmas-kimani-ngunjiri"
},
"content": "shule, lakini wakisema hivyo wajiulize huyu mtoto ataenda darasa gani, ataketi kwa kiti gani na ni walimu wagani watamsomesha. Haya ndiyo mambo nyeti wanahitaji kuangalia. Lakini sikusema tu ni lazima watoto wote wawe darasani."
}