GET /api/v0.1/hansard/entries/875812/?format=api
HTTP 200 OK
Allow: GET, PUT, PATCH, DELETE, HEAD, OPTIONS
Content-Type: application/json
Vary: Accept

{
    "id": 875812,
    "url": "https://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/875812/?format=api",
    "text_counter": 135,
    "type": "speech",
    "speaker_name": "Hon. Deputy Speaker",
    "speaker_title": "",
    "speaker": null,
    "content": "Hii ni Hoja ya Mhe. Mohamed Ali. Kinachobakia ni Hoja kuhitimishwa. Najua kwa uhakika, Mbunge wa Suba ambaye ni Kinara wa Walio Wachache katika Bunge, hawezi kuelewa hiyo. Nimesema Kiongozi wa Walio Wachache katika Bunge kwa wale hawajaelewa Kiswahili vizuri."
}