GET /api/v0.1/hansard/entries/875821/?format=api
HTTP 200 OK
Allow: GET, PUT, PATCH, DELETE, HEAD, OPTIONS
Content-Type: application/json
Vary: Accept
{
"id": 875821,
"url": "https://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/875821/?format=api",
"text_counter": 144,
"type": "speech",
"speaker_name": "Hon. Deputy Speaker",
"speaker_title": "",
"speaker": null,
"content": "Hivyo ndivyo nilisema kwamba Daktari Wamalwa pia hakuelewa. Yaliyobaki ni hayo ambayo unasema. Kuhitimishwa kwa Hoja ndiyo wewe mwenyewe umeuliza mwenye Hoja afanye. Kwa lugha ya Kimombo, it is asking the Mover toreply . Mhe. Ali, uwanja ni wako."
}