GET /api/v0.1/hansard/entries/875823/?format=api
HTTP 200 OK
Allow: GET, PUT, PATCH, DELETE, HEAD, OPTIONS
Content-Type: application/json
Vary: Accept
{
"id": 875823,
"url": "https://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/875823/?format=api",
"text_counter": 146,
"type": "speech",
"speaker_name": "Nyali, Independent",
"speaker_title": "Hon. Mohamed Ali",
"speaker": {
"id": 13455,
"legal_name": "Mohammed Ali Mohamed",
"slug": "mohamed-ali-mohamed"
},
"content": " Asante sana, Mhe. Naibu Spika. Naomba kujibu Hoja ambayo tulizungumzia wiki iliyopita. Kwanza kabisa, nitaanza kutoa shukrani zangu za dhati kwa Wabunge wote waliochangia Hoja hii ya kufutilia mbali ada za matibabu katika hospitali za umma za rufaa pindi mtu anapofariki. Natoa shukrani zangu kwa Wabunge wote waliochangamka na kuchangia Hoja hii wakiomba ya kwamba ipasishwe ili tuweze kupunguza mzigo wa wananchi wa Jamhuri ya Kenya. Kuongezea tu kidogo ni kwamba Hoja hii itasaidia katika gharama ya mwananchi wa kawaida iwapo itapasishwa. Kwa mfano, sisi Wabunge hatuna mamlaka kwa sababu ya…"
}