GET /api/v0.1/hansard/entries/875827/?format=api
HTTP 200 OK
Allow: GET, PUT, PATCH, DELETE, HEAD, OPTIONS
Content-Type: application/json
Vary: Accept
{
"id": 875827,
"url": "https://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/875827/?format=api",
"text_counter": 150,
"type": "speech",
"speaker_name": "Nyali, Independent",
"speaker_title": "Hon. Mohamed Ali",
"speaker": {
"id": 13455,
"legal_name": "Mohammed Ali Mohamed",
"slug": "mohamed-ali-mohamed"
},
"content": " Mhe. Naibu Spika, utumizi wa neno “kupasishwa” au neno “kupitisha” utategemea lugha unayoitumia. Unaweza kuzungumza Kiswahili cha Mvita au cha Kenya. Kwa hivyo, kuna tofauti lakini yote ni moja. Hoja inapitishwa katika Bunge na Wabunge."
}