GET /api/v0.1/hansard/entries/875835/?format=api
HTTP 200 OK
Allow: GET, PUT, PATCH, DELETE, HEAD, OPTIONS
Content-Type: application/json
Vary: Accept

{
    "id": 875835,
    "url": "https://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/875835/?format=api",
    "text_counter": 158,
    "type": "speech",
    "speaker_name": "Nyali, Independent",
    "speaker_title": "Hon. Mohamed Ali",
    "speaker": {
        "id": 13455,
        "legal_name": "Mohammed Ali Mohamed",
        "slug": "mohamed-ali-mohamed"
    },
    "content": "Nasimama kuzungumzia fundi wa mbao, mfanyikazi wa mjengo, mama wa mboga, dereva wa matatu, kondakta na wafanyikazi wote wa jua kali ambao wanapopoteza wapendwa wao, miili yao inazidi kuzuiliwa katika vyumba vya kuhifadhi maiti na baadaye kutupwa. Naomba Bunge hili lipitishe Hoja hii na tuweze kuendelea mbele kujenga Jamhuri ya Kenya."
}