GET /api/v0.1/hansard/entries/875847/?format=api
HTTP 200 OK
Allow: GET, PUT, PATCH, DELETE, HEAD, OPTIONS
Content-Type: application/json
Vary: Accept
{
"id": 875847,
"url": "https://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/875847/?format=api",
"text_counter": 170,
"type": "speech",
"speaker_name": "Hon. Deputy Speaker",
"speaker_title": "",
"speaker": null,
"content": "Mhe. Shaban ambaye ni jirani wa Shaban Robert, ambaye alifahamika sana kwa Kiswahili, alisema kwamba tuko na Kiswahili cha Kiugunja, Kimvita na hata cha hapa Nairobi. Hauna ruhusa kupinga mambo ambayo Mwenyekiti wa siku ya leo amepitisha. It is gone. Let us go back to our English, Hon. Members. Let us proceed."
}