GET /api/v0.1/hansard/entries/876063/?format=api
HTTP 200 OK
Allow: GET, PUT, PATCH, DELETE, HEAD, OPTIONS
Content-Type: application/json
Vary: Accept
{
"id": 876063,
"url": "https://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/876063/?format=api",
"text_counter": 17,
"type": "speech",
"speaker_name": "Sen. Kinyua",
"speaker_title": "",
"speaker": {
"id": 13202,
"legal_name": "John Kinyua Nderitu",
"slug": "john-kinyua-nderitu-2"
},
"content": "Asante sana, Bw. Spika. Ninachukua fursa hii kuwaalika ndugu zetu wa kutoka Kaunti ya Kirinyaga. Kuna watu ninawajua vizuri kwa sababu niko na shughuli zangu huko Kirinyaga. Watu wa Kirinyaga ni watu ambao wanajitolea na wanawapenda wageni. Mimi kama Mwenyekiti wa Kamati ya Ugatuzi, ninaichukua fursa The electronic version of the Senate Hansard Report is for information purposesonly. A certified version of this Report can be obtained from the Hansard Editor, Senate."
}