GET /api/v0.1/hansard/entries/877675/?format=api
HTTP 200 OK
Allow: GET, PUT, PATCH, DELETE, HEAD, OPTIONS
Content-Type: application/json
Vary: Accept
{
"id": 877675,
"url": "https://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/877675/?format=api",
"text_counter": 116,
"type": "speech",
"speaker_name": "Sen. Mwaruma",
"speaker_title": "",
"speaker": {
"id": 13223,
"legal_name": "Johnes Mwashushe Mwaruma",
"slug": "johnes-mwashushe-mwaruma"
},
"content": "Asante Bw. Spika, kwa kunipa hii fursa ili kuchangia na kuunga mkono ombi la Seneta wa Kiambu, Sen. Kimani Wamatangi. Kumekuwa na shida nyingi katika Kenya nzima upande wa kufidia wananchi ambao wanaondolewa sehemu fulani ili maendeleo yafanyike. Kule Taita-Taveta ninakotoka mradi wa Voi-Holili Road uliofadhiliwa na African Development Bank (ADB) uliisha mwaka wa 2012 na mpaka leo wananchi wa kule hawajapewa fidia. Vile waheshimiwa walivyosema, imekuwa kama mtindo, kwamba mradi ukifanyika Kenya, watu hawapewi fidia kwa muda unaofaa. Sijui itakuwa namna gani kwa sababu muda wa maafisa wa the National Land Commission (NLC) umekwisha. Kuna vitu vingi ambavyo havijatimizwa kwa sababu watu wengi wameleta maombi ama petitions nyingi kwenye hii Seneti wakitaka kulipwa fidia. Hadi wa leo, watu waliokuwa wakiishi kuanzia kilimita sufuri hadi ishirini kutoka kwenye reli hawajafidiwa. Watu hao ni wa kule Taita-Taveta, Makueni---"
}