GET /api/v0.1/hansard/entries/877736/?format=api
HTTP 200 OK
Allow: GET, PUT, PATCH, DELETE, HEAD, OPTIONS
Content-Type: application/json
Vary: Accept
{
"id": 877736,
"url": "https://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/877736/?format=api",
"text_counter": 177,
"type": "speech",
"speaker_name": "Sen. Faki",
"speaker_title": "",
"speaker": {
"id": 13211,
"legal_name": "Mohamed Faki Mwinyihaji",
"slug": "mohamed-faki-mwinyihaji-2"
},
"content": "Asante, Bw. Naibu Spika kwa kunipa fursa kuchangia Ombi ambalo limeletwa na Seneta wa Nakuru, Sen. Kihika. Lilikuwa ni jambo la aibu na la kuvunja moyo sana kuona watoto zaidi ya 40 wakilalamika kwamba wametupwa msituni na maafisa wa Kaunti ya Nakuru. Ningependa kuwapongeza wakaazi wa eneo ambalo watoto walitupwa kwa ubinadamu wao. Waliwapokea wale watoto, wakawapa chakula na kuwasaidia kwa usafiri kurudi Nakuru."
}