GET /api/v0.1/hansard/entries/877737/?format=api
HTTP 200 OK
Allow: GET, PUT, PATCH, DELETE, HEAD, OPTIONS
Content-Type: application/json
Vary: Accept
{
"id": 877737,
"url": "https://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/877737/?format=api",
"text_counter": 178,
"type": "speech",
"speaker_name": "Sen. Faki",
"speaker_title": "",
"speaker": {
"id": 13211,
"legal_name": "Mohamed Faki Mwinyihaji",
"slug": "mohamed-faki-mwinyihaji-2"
},
"content": "Jambo kama hili halifai kufanyika wakati huu wa sasa baaada ya kupitisha sheria mpya ya watoto, yaani Children Act, ambayo ilipitishwa kutoka Mwaka wa 2005. Inafaa vyombo vya usalama vichukue hatua mara moja kuhakikisha kwamba wale ambao walifanya huu unyama wameshitakiwa, kufungwa na kupoteza kazi zao katika Kaunti ya Nakuru. Hii ni kwa sababu jambo hili linatia dosari na doa Serikali ya Kaunti ya Nakuru."
}