GET /api/v0.1/hansard/entries/878020/?format=api
HTTP 200 OK
Allow: GET, PUT, PATCH, DELETE, HEAD, OPTIONS
Content-Type: application/json
Vary: Accept

{
    "id": 878020,
    "url": "https://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/878020/?format=api",
    "text_counter": 461,
    "type": "speech",
    "speaker_name": "Sen. Faki",
    "speaker_title": "",
    "speaker": {
        "id": 13211,
        "legal_name": "Mohamed Faki Mwinyihaji",
        "slug": "mohamed-faki-mwinyihaji-2"
    },
    "content": "kushugulikia maswala ya ukulima ni za ili wakulima wasiwe watu wa kuombaomba milele na milele katika nchi yetu. Bw. Naibu Spika, nikimalizia, ningependa kusema kwamba Ripoti hii inaweza kutumika katika sekta zingine zozote ambazo zinahusika na ukulima. Kwa mfano, kuna sekta ya sukari ambayo imelemaa kwa muda mrefu. Vile vile kuna sekta za kahawa, majani chai na zingine ambazo zimeshindwa kujiinua na kujinasua katika lindi la ufisadi ambalo linaendelea kwa sasa. Asante sana, Bw. Naibu Spika."
}