GET /api/v0.1/hansard/entries/879695/?format=api
HTTP 200 OK
Allow: GET, PUT, PATCH, DELETE, HEAD, OPTIONS
Content-Type: application/json
Vary: Accept
{
"id": 879695,
"url": "https://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/879695/?format=api",
"text_counter": 405,
"type": "speech",
"speaker_name": "Lamu CWR, JP",
"speaker_title": "Hon. (Ms.) Ruweida Obo",
"speaker": {
"id": 786,
"legal_name": "Ruweida Mohamed Obo",
"slug": "ruweida-mohamed-obo"
},
"content": " Asante, Mhe. Naibu Spika wa Muda. Nataka kuunga mkono. Tukiunga Hoja hii mkono, itatusaidia pakubwa. Tunajua mambo ya usalama vile iko na vile Wakenya wameathirika. Hapa hatuna haja ya kubahatisha. Ni muhimu tuunge mkono Hoja hii. Hili jambo litatupatia hakikisho ya usalama wetu na bidhaa zinazopita Kenya kwenda nchi zetu jirani."
}