GET /api/v0.1/hansard/entries/879696/?format=api
HTTP 200 OK
Allow: GET, PUT, PATCH, DELETE, HEAD, OPTIONS
Content-Type: application/json
Vary: Accept

{
    "id": 879696,
    "url": "https://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/879696/?format=api",
    "text_counter": 406,
    "type": "speech",
    "speaker_name": "Lamu CWR, JP",
    "speaker_title": "Hon. (Ms.) Ruweida Obo",
    "speaker": {
        "id": 786,
        "legal_name": "Ruweida Mohamed Obo",
        "slug": "ruweida-mohamed-obo"
    },
    "content": "Pia, itafanya kazi iwe rahisi kwa wale maofisa na hata wale wenye mizigo. Wakitaka kujua mizigo yao iko wapi, itakuwa ni rahisi kujua iko mahali fulani. Itasaidia pia kwa kupunguza muda wa usafiri. Itakuwa mambo ni haraka na rahisi. Siku hizi ni lazima tung’ang’ane na wakati. Kwa hivyo, biashara itachukua muda mdogo ambao utaleta biashara nyingi zaidi. Hoja hii italeta uwiano baina ya nchi hizi zetu za Afrika Mashariki."
}