GET /api/v0.1/hansard/entries/880043/?format=api
HTTP 200 OK
Allow: GET, PUT, PATCH, DELETE, HEAD, OPTIONS
Content-Type: application/json
Vary: Accept

{
    "id": 880043,
    "url": "https://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/880043/?format=api",
    "text_counter": 311,
    "type": "speech",
    "speaker_name": "Lamu East, JP",
    "speaker_title": "Hon. Ali Sharif",
    "speaker": {
        "id": 2100,
        "legal_name": "Shariff Athman Ali",
        "slug": "shariff-athman-ali"
    },
    "content": "panapotokezea matatizo tuna mwongozo kamili wa kuhakikisha kwamba matizo hayaleti athari ama hayatatanishi utaratibu ambao unaendelea hivi sasa wa kisheria. Naunga mkono na naungana na wenzangu kwa kupendekeza na kuhakikisha ya kwamba haya mambo na utaratibu huu umepitishwa. Ningependa kukomea hapa. Asante."
}