GET /api/v0.1/hansard/entries/880556/?format=api
HTTP 200 OK
Allow: GET, PUT, PATCH, DELETE, HEAD, OPTIONS
Content-Type: application/json
Vary: Accept
{
"id": 880556,
"url": "https://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/880556/?format=api",
"text_counter": 493,
"type": "speech",
"speaker_name": "Lamu East, JP",
"speaker_title": "Hon. Ali Sharif",
"speaker": {
"id": 2100,
"legal_name": "Shariff Athman Ali",
"slug": "shariff-athman-ali"
},
"content": "Tukiwa mashinani, walinda usalama kama machifu wanawategemea Wabunge kutekeleza mambo yao ya usalama katika zile sehemu. Serikali hii inapeana pesa kwa wizara kama hizi. Kwa hivyo, ningependelea tutenge pesa fulani kutoka kwa zile fedha ambazo zinaenda kwa wizara inayohusika na usalama na kupelekwa kwa NG-CDF ili Waheshimiwa washughulikie mambo ya usalama katika maeneo Bunge yao."
}