GET /api/v0.1/hansard/entries/880557/?format=api
HTTP 200 OK
Allow: GET, PUT, PATCH, DELETE, HEAD, OPTIONS
Content-Type: application/json
Vary: Accept
{
"id": 880557,
"url": "https://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/880557/?format=api",
"text_counter": 494,
"type": "speech",
"speaker_name": "Lamu East, JP",
"speaker_title": "Hon. Ali Sharif",
"speaker": {
"id": 2100,
"legal_name": "Shariff Athman Ali",
"slug": "shariff-athman-ali"
},
"content": "Ninaunga mkono pakubwa pesa ya NG-CDF iongezewe. Mwenyekiti wa Kamati ya NG- CDF yuko hapa. Kama Mwanachama wa Kamati hiyo, nashauri tukae chini pamoja na Budgetand Appropriations Committee na tuangalie haya mapendekezo ambayo tumeleta ili tubadilishe haya mambo. Wabunge wengi wanalalamika kuhusu suala hili. Wabunge wengine wako na mashule 200 katika maeneo Bunge yao na hawajui vile watakavyopeana bursaries kwa sababu The electronic version of the Official Hansard Report is for information purposes only. Acertified version of this Report can be obtained from the Hansard Editor."
}