GET /api/v0.1/hansard/entries/882211/?format=api
HTTP 200 OK
Allow: GET, PUT, PATCH, DELETE, HEAD, OPTIONS
Content-Type: application/json
Vary: Accept
{
"id": 882211,
"url": "https://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/882211/?format=api",
"text_counter": 171,
"type": "speech",
"speaker_name": "Sen. Faki",
"speaker_title": "",
"speaker": {
"id": 13211,
"legal_name": "Mohamed Faki Mwinyihaji",
"slug": "mohamed-faki-mwinyihaji-2"
},
"content": "Asante, Bw. Spika, kwa kunipa fursa hii kuchangia taarifa ya Seneta wa Makueni, Sen. Mutula Kilonzo Jnr. Kwa niaba ya watu wa Kaunti ya Mombasa, nachukua fursa hii kwanza kutuma rambirambi zangu za dhati kwa wote waliofiwa akiwamo rubani wa ndege hiyo ambaye alikuwa ni kijana ambaye mamake anatoka katika Kaunti ya Mombasa."
}