GET /api/v0.1/hansard/entries/882212/?format=api
HTTP 200 OK
Allow: GET, PUT, PATCH, DELETE, HEAD, OPTIONS
Content-Type: application/json
Vary: Accept
{
"id": 882212,
"url": "https://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/882212/?format=api",
"text_counter": 172,
"type": "speech",
"speaker_name": "Sen. Faki",
"speaker_title": "",
"speaker": {
"id": 13211,
"legal_name": "Mohamed Faki Mwinyihaji",
"slug": "mohamed-faki-mwinyihaji-2"
},
"content": "Kwa hakika sisi watu wa Kaunti ya Mombasa, tumesikitishwa sana na ajali hiyo ambayo iliwachukua watu wengi katika nchi yetu ya Kenya ambao ni thelathini na wawili. Kenya ndiyo nchi ambayo ilipata hasara kubwa kuliko zingine zote."
}