GET /api/v0.1/hansard/entries/882213/?format=api
HTTP 200 OK
Allow: GET, PUT, PATCH, DELETE, HEAD, OPTIONS
Content-Type: application/json
Vary: Accept

{
    "id": 882213,
    "url": "https://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/882213/?format=api",
    "text_counter": 173,
    "type": "speech",
    "speaker_name": "Sen. Faki",
    "speaker_title": "",
    "speaker": {
        "id": 13211,
        "legal_name": "Mohamed Faki Mwinyihaji",
        "slug": "mohamed-faki-mwinyihaji-2"
    },
    "content": "Bw. Spika, ndege iliyoanguka ni ndege ambazo huja hapa Kenya kwa sababu tuliwahi kusafiria ndege kama hiyo kuelekea Turkey mwaka jana. Boeing 737 Max 8 ni ndege ambayo inaingia Kenya na kutoka. Kwa hivyo kama vile nchi zingine katika Afrika na ulimwenguni kwa jumla zimeweza kuzipiga marufuku kwa sasa ndege hizo kupaa katika anga yake, sisi pia kama Kenya, inafaa tuchukue hatua kama hiyo kwa sababu usalama ni jambo muhimu sana kwa wasafiri wa ndege na wale ambao wako chini kwa sababu hatuwezi kujua ndege hiyo inaweza kuangukia wapi. The electronic version of the Senate Hansard Report is for information purposesonly. A certified version of this Report can be obtained from the Hansard Editor, Senate."
}