GET /api/v0.1/hansard/entries/882214/?format=api
HTTP 200 OK
Allow: GET, PUT, PATCH, DELETE, HEAD, OPTIONS
Content-Type: application/json
Vary: Accept
{
"id": 882214,
"url": "https://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/882214/?format=api",
"text_counter": 174,
"type": "speech",
"speaker_name": "Sen. Faki",
"speaker_title": "",
"speaker": {
"id": 13211,
"legal_name": "Mohamed Faki Mwinyihaji",
"slug": "mohamed-faki-mwinyihaji-2"
},
"content": "Namuunga mkono Sen. Wetangula kwa kusema kuwa sisi kama wakenya ambao tumepoteza watu thelathini na wawili, ilikuwa wakati mwafaka kuonyesha huzuni yetu kwa kuamrisha kwamba bendera zetu zipeperushwe nusu mlingoti au tutenge siku moja ya kuomboleza."
}