GET /api/v0.1/hansard/entries/882226/?format=api
HTTP 200 OK
Allow: GET, PUT, PATCH, DELETE, HEAD, OPTIONS
Content-Type: application/json
Vary: Accept
{
"id": 882226,
"url": "https://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/882226/?format=api",
"text_counter": 186,
"type": "speech",
"speaker_name": "Sen. Madzayo",
"speaker_title": "",
"speaker": {
"id": 679,
"legal_name": "Stewart Mwachiru Shadrack Madzayo",
"slug": "stewart-mwachiru-shadrack-madzayo"
},
"content": "na wamerekebisha pale ambapo panafanya ndege hizi wakati zimepaa kupoteza mwelekeo, kuanguka na kuleta maafa haya. Mwisho ni kwamba kwa ababu tumepoteza Wakenya wengi, familia nyingi hivi sasa wanaomboleza. Kuna familia moja ambayo imepoteza watu watano katika ajali hiyo wakiwemo dada wawili na watoto wao wa kike watatu. Familia hizo sasa zitazika watu watano ambao ni wengi sana. Bw. Spika, ni jambo la kusikitisha. Ningependa sana ikiwa taifa letu la Kenya litatambua---"
}