GET /api/v0.1/hansard/entries/882723/?format=api
HTTP 200 OK
Allow: GET, PUT, PATCH, DELETE, HEAD, OPTIONS
Content-Type: application/json
Vary: Accept
{
"id": 882723,
"url": "https://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/882723/?format=api",
"text_counter": 251,
"type": "speech",
"speaker_name": "Trans Nzoia, JP",
"speaker_title": "Hon. (Ms.) Janet Nangabo",
"speaker": {
"id": 1076,
"legal_name": "Janet Nangabo Wanyama",
"slug": "janet-nangabo-wanyama"
},
"content": "Nataka kugusia maneno ambayo wenzangu wameongea katika Bunge hili kwamba ni chakula tunachokula katika nchi yetu na Kenya na maisha tunayoishi sisi kama viongozi na pia watu wanaohudumia nchi yetu ya Kenya. Wenzangu wamesema kwamba lazima tuwafunze watu jinsi ya kujipima katika jamii ili wasikumbwe na ugonjwa huu wa kisukari na wajikute The electronic version of the Official Hansard Report is for information purposes only. Acertified version of this Report can be obtained from the Hansard Editor."
}