GET /api/v0.1/hansard/entries/882727/?format=api
HTTP 200 OK
Allow: GET, PUT, PATCH, DELETE, HEAD, OPTIONS
Content-Type: application/json
Vary: Accept

{
    "id": 882727,
    "url": "https://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/882727/?format=api",
    "text_counter": 255,
    "type": "speech",
    "speaker_name": "Trans Nzoia CWR, JP",
    "speaker_title": "Hon. (Ms.) Janet Nangabo",
    "speaker": {
        "id": 1076,
        "legal_name": "Janet Nangabo Wanyama",
        "slug": "janet-nangabo-wanyama"
    },
    "content": " Asante, Mhe. Naibu Spika wa Muda, niko karibu kumaliza. Nataka kumshukuru mwenzangu na kusema tusiwe tu na mjadala katika Bunge hili lakini alete Mswada ili tukifika kwenye mambo ya Bajeti, tuhakikishe tumetenga pesa. Hii ni kwa sababu katika jamii tuna walemavu ambao hawawezi kutembea mpaka mahali pa matibabu."
}