GET /api/v0.1/hansard/entries/883340/?format=api
HTTP 200 OK
Allow: GET, PUT, PATCH, DELETE, HEAD, OPTIONS
Content-Type: application/json
Vary: Accept
{
"id": 883340,
"url": "https://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/883340/?format=api",
"text_counter": 169,
"type": "speech",
"speaker_name": "Sen. Madzayo",
"speaker_title": "",
"speaker": {
"id": 679,
"legal_name": "Stewart Mwachiru Shadrack Madzayo",
"slug": "stewart-mwachiru-shadrack-madzayo"
},
"content": "Ni jambo la kusikitisha kuona ya kwamba yule anayelinda mwenzake ndiye sasa anayetakikana kulindwa. Hili ni jambo la kusikitisha kwa sababu Bunge la Kaunti linatakikana kuangalia matumizi, makadirio na kazi inavyoendelea katika serikali zetu za kaunti."
}