GET /api/v0.1/hansard/entries/883341/?format=api
HTTP 200 OK
Allow: GET, PUT, PATCH, DELETE, HEAD, OPTIONS
Content-Type: application/json
Vary: Accept
{
"id": 883341,
"url": "https://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/883341/?format=api",
"text_counter": 170,
"type": "speech",
"speaker_name": "Sen. Madzayo",
"speaker_title": "",
"speaker": {
"id": 679,
"legal_name": "Stewart Mwachiru Shadrack Madzayo",
"slug": "stewart-mwachiru-shadrack-madzayo"
},
"content": "Ni jambo la kusikitisha kuona ya kwamba sasa wale county executives wana mamlaka zaidi ya bunge lililoko katika serikali za mashinani. Tunawaambia kwamba tabia kama hizo hazifai kulingana na maadili yaliyomo ndani ya Katiba. Katiba yetu inatuambia kwamba bunge litakuwa na uwezo wa kuangalia kazi inayoendelea ndani ya serikali za kaunti."
}