GET /api/v0.1/hansard/entries/883342/?format=api
HTTP 200 OK
Allow: GET, PUT, PATCH, DELETE, HEAD, OPTIONS
Content-Type: application/json
Vary: Accept
{
"id": 883342,
"url": "https://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/883342/?format=api",
"text_counter": 171,
"type": "speech",
"speaker_name": "Sen. Madzayo",
"speaker_title": "",
"speaker": {
"id": 679,
"legal_name": "Stewart Mwachiru Shadrack Madzayo",
"slug": "stewart-mwachiru-shadrack-madzayo"
},
"content": "Bw. Naibu Spika, ikiwa kuna kitendo kama hicho kinachoendelea vile ambavyo Sen. Faki amesema ingekuwa vizuri kikome kwa sababu wao kama executives hawana mamlaka ya kuweza kuwafuta kazi wale waliochaguliwa na wananchi katika serikali za kaunti. Kwa hivyo, lazima kuwe na uwiano mwema ndani ya serikali za Mashinani na wasifanye vitendo vya kupinga Katiba ya Kenya na uwezo wa zile bunge za mashinani."
}