GET /api/v0.1/hansard/entries/883350/?format=api
HTTP 200 OK
Allow: GET, PUT, PATCH, DELETE, HEAD, OPTIONS
Content-Type: application/json
Vary: Accept
{
"id": 883350,
"url": "https://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/883350/?format=api",
"text_counter": 179,
"type": "speech",
"speaker_name": "Sen. Cherargei",
"speaker_title": "",
"speaker": {
"id": 13217,
"legal_name": "Cherarkey K Samson",
"slug": "cherarkey-k-samson"
},
"content": "Asante, Bw. Naibu Spika. Sitaki jambo hili lipite kabla sijaongeza sauti yangu. Ninafikiri shida kubwa ambazo kaunti zetu ziko nazo ni kwa sababu pesa zinatolewa na serikali za kaunti kupitia Mawaziri wao wa fedha. Katika Kamati yetu, tumejaribu kushughulilkia hayo maswala kuhakikisha bunge za kaunti The electronic version of the Senate Hansard Report is for information purposesonly. A certified version of this Report can be obtained from the Hansard Editor, Senate."
}