GET /api/v0.1/hansard/entries/883363/?format=api
HTTP 200 OK
Allow: GET, PUT, PATCH, DELETE, HEAD, OPTIONS
Content-Type: application/json
Vary: Accept

{
    "id": 883363,
    "url": "https://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/883363/?format=api",
    "text_counter": 192,
    "type": "speech",
    "speaker_name": "Sen. Cherargei",
    "speaker_title": "",
    "speaker": {
        "id": 13217,
        "legal_name": "Cherarkey K Samson",
        "slug": "cherarkey-k-samson"
    },
    "content": "Bw. Naibu Wa Spika, unajua watu wamezoea kuelewa kupitia Kiingereza. Huwa changamoto kwa muda fulani. Hata hivyo, ninaunga mkono kwamba Kamati husika hata imuite Gavana wa Kaunti ya Mombasa ile aangazie haya maswala mazito kuhusiana na bunge la Kaunti ya Mombasa ili tusuluhishe maswala hayo."
}