GET /api/v0.1/hansard/entries/883646/?format=api
HTTP 200 OK
Allow: GET, PUT, PATCH, DELETE, HEAD, OPTIONS
Content-Type: application/json
Vary: Accept

{
    "id": 883646,
    "url": "https://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/883646/?format=api",
    "text_counter": 475,
    "type": "speech",
    "speaker_name": "Sen. Faki",
    "speaker_title": "",
    "speaker": {
        "id": 13211,
        "legal_name": "Mohamed Faki Mwinyihaji",
        "slug": "mohamed-faki-mwinyihaji-2"
    },
    "content": "Asante, Bi. Spika wa Muda, kwa kunipa fursa hii kuunga mkono Mswada wa kanuni za kaunti, ama kwa Kiingereza, The County Statutory InstrumentsBill, 2018 . Mswada huu umekuja wakati mwafaka kwa sababu kaunti nyingi hazijapitisha mwongozo wa vipi watachapisha kanuni ambazo zinatumika kutekeleza sheria ambazo wanapitisha katika mabunge ya kaunti. Kwa hivyo, Mswada huu utasaidia kuwapa mwongozo zile serikali au mabunge ya kaunti kuhakikisha kwamba ni njia gani watatumia kupitisha kanuni ambazo zitatumika kutekeleza sheria zinazopitishwa."
}