GET /api/v0.1/hansard/entries/883647/?format=api
HTTP 200 OK
Allow: GET, PUT, PATCH, DELETE, HEAD, OPTIONS
Content-Type: application/json
Vary: Accept
{
"id": 883647,
"url": "https://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/883647/?format=api",
"text_counter": 476,
"type": "speech",
"speaker_name": "Sen. Faki",
"speaker_title": "",
"speaker": {
"id": 13211,
"legal_name": "Mohamed Faki Mwinyihaji",
"slug": "mohamed-faki-mwinyihaji-2"
},
"content": "Bi. Spika wa Muda, mara nyingi mambo yote hayawekwi katika miswada ya sheria; ila ni baadhi ya mambo tu yale muhimu yanayowekwa katika miswada ya sheria. Watekelezaji wa sheria hizi au kile kitengo cha utekelezaji, yaani the executive wanapewa fursa na sheria kutunga kanuni ambazo zinasaidia kutekeleza zile sheria zilizopitishwa. Kwa hivyo, sheria hii ni kigezo muhimu cha kuendeleza na kuzipa fursa serikali za kaunti kuhakikisha kwamba wanapitisha miswada; na vile vile kwamba miswada yenyewe inapitishiwa kanuni ya kuitekeleza."
}