GET /api/v0.1/hansard/entries/883648/?format=api
HTTP 200 OK
Allow: GET, PUT, PATCH, DELETE, HEAD, OPTIONS
Content-Type: application/json
Vary: Accept

{
    "id": 883648,
    "url": "https://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/883648/?format=api",
    "text_counter": 477,
    "type": "speech",
    "speaker_name": "Sen. Faki",
    "speaker_title": "",
    "speaker": {
        "id": 13211,
        "legal_name": "Mohamed Faki Mwinyihaji",
        "slug": "mohamed-faki-mwinyihaji-2"
    },
    "content": "Bi. Spika wa Muda, sheria hii pia inajumuisha kaunti zote katika Jamhuri ya Kenya. kwa hivyo, kila kaunti ambayo haijapitisha mwongozo kama huu itapata fursa ya kutumia mwongozo huu ili kupitisha zile kanuni ambazo wanataka kupitisha ili kuendeleza kazi zao. Mara nyingi, kanuni hizi hutumika katika kukusanya ushuru au leseni kadha wa kadha ambazo zinatumika katika serikali za kaunti. Kwa hivyo, bila kanuni hizi, inakuwa vigumu kwa serikali za kaunti kukusanya fedha za kutekeleza miradi wanayoendeleza katika kaunti zao."
}