GET /api/v0.1/hansard/entries/883650/?format=api
HTTP 200 OK
Allow: GET, PUT, PATCH, DELETE, HEAD, OPTIONS
Content-Type: application/json
Vary: Accept
{
"id": 883650,
"url": "https://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/883650/?format=api",
"text_counter": 479,
"type": "speech",
"speaker_name": "Sen. Faki",
"speaker_title": "",
"speaker": {
"id": 13211,
"legal_name": "Mohamed Faki Mwinyihaji",
"slug": "mohamed-faki-mwinyihaji-2"
},
"content": "Vile vile, Bi. Spika wa Muda, uwezo uliopewa serikali za kaunti, yaani Executive, wa kutunga kanuni kanuni hizi, sio uwezo ambao hauna vigezo. Huu ni uwezo ambao lazima utekelezwe kulingana na vile sheria inavyosema. Kwa hivyo, iwapo watakwenda kinyume na zile sheria, zile kanuni ambazo watakuwa wametengeneza hazitakuwa na The electronic version of the Senate Hansard Report is for information purposesonly. A certified version of this Report can be obtained from the Hansard Editor, Senate."
}