GET /api/v0.1/hansard/entries/883651/?format=api
HTTP 200 OK
Allow: GET, PUT, PATCH, DELETE, HEAD, OPTIONS
Content-Type: application/json
Vary: Accept
{
"id": 883651,
"url": "https://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/883651/?format=api",
"text_counter": 480,
"type": "speech",
"speaker_name": "Sen. Faki",
"speaker_title": "",
"speaker": {
"id": 13211,
"legal_name": "Mohamed Faki Mwinyihaji",
"slug": "mohamed-faki-mwinyihaji-2"
},
"content": "maana yoyote kwa sababu zinapinga sheria ambazo ziko. Kupitisha kanuni hizi itasaidia kuyapa mabunge ya kaunti uwezo wa kuangalia ama kudhibiti uwezo wa serikali za kaunti katika kupitisha kanuni ambazo labda zinawaathiri wananchi katika eneo lile. Inasemekana kwamba sheria hii inaipa bunge la kaunti lile jukumu la kuangalia na kuangazia kazi zinazofanywa na kitengo cha utekelezaji, yaani executive kuhakikisha kwamba kanuni wanazopitisha zinaambatana na sheria."
}