GET /api/v0.1/hansard/entries/883652/?format=api
HTTP 200 OK
Allow: GET, PUT, PATCH, DELETE, HEAD, OPTIONS
Content-Type: application/json
Vary: Accept

{
    "id": 883652,
    "url": "https://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/883652/?format=api",
    "text_counter": 481,
    "type": "speech",
    "speaker_name": "Sen. Faki",
    "speaker_title": "",
    "speaker": {
        "id": 13211,
        "legal_name": "Mohamed Faki Mwinyihaji",
        "slug": "mohamed-faki-mwinyihaji-2"
    },
    "content": "Bi. Spika wa Muda, Mswada huu pia unatoa mwongozo wa vipi zile kanuni zitatengezwa hadi ziwe sheria. Kuna kifungu ambacho kinasema kwamba lazima ichapishwe katika gazeti rasmi la Serikali, na vile vile katika magazeti rasmi ya kaunti. Vile vile, inatoa fursa kwa wananchi ama washikadau wote katika kitengo kile ambacho kimekusudiwa kwenda kutoa mwongozo au kutoa maoni yao. Kwa mfano, ikiwa wanatunga kanuni za kudhibiti biashara ya boda boda, itakuwa ni lazima watoe fursa kwa washikadau wote – waendesha boda boda na wengineo – kutoa maoni yao kulingana na kanuni zilozotungwa."
}