GET /api/v0.1/hansard/entries/883653/?format=api
HTTP 200 OK
Allow: GET, PUT, PATCH, DELETE, HEAD, OPTIONS
Content-Type: application/json
Vary: Accept

{
    "id": 883653,
    "url": "https://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/883653/?format=api",
    "text_counter": 482,
    "type": "speech",
    "speaker_name": "Sen. Faki",
    "speaker_title": "",
    "speaker": {
        "id": 13211,
        "legal_name": "Mohamed Faki Mwinyihaji",
        "slug": "mohamed-faki-mwinyihaji-2"
    },
    "content": "Vile vile, Bi. Spika wa Muda, kanuni hizi zinazotungwa lazima zipelekwe katika bunge la kaunti ili zichunguzwe kabla ya kupitishwa. Kwa hivyo, hiyo pia inatoa fursa ya kuhakikisha kwamba kanuni zile zinazotungwa na utekelezaji wake zinaambatana na sheria, na zimepitishwa na bunge la kaunti ile."
}