GET /api/v0.1/hansard/entries/883655/?format=api
HTTP 200 OK
Allow: GET, PUT, PATCH, DELETE, HEAD, OPTIONS
Content-Type: application/json
Vary: Accept

{
    "id": 883655,
    "url": "https://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/883655/?format=api",
    "text_counter": 484,
    "type": "speech",
    "speaker_name": "Sen. Faki",
    "speaker_title": "",
    "speaker": {
        "id": 13211,
        "legal_name": "Mohamed Faki Mwinyihaji",
        "slug": "mohamed-faki-mwinyihaji-2"
    },
    "content": "Swala lingine, Bi. Spika wa Muda, ni kwamba Kifungu cha 16 kinasema kwamba lazima kila kanuni itakayopitishwa na kukubaliwa iwekwe katika gazeti rasmi la Serikali, yaani Kenya Gazette na vile vile county gazette . Pia, lazima zipewe namba maalum; kwa mfano, No.001/1/2019. Huo ni mfano wa zile namba zitakazopeanwa katika hizi kanuni za kaunti ili ziwe rahisi kuzipambanua zinahusiana na jambo lipi, na ile inahusiana na jambo lipi."
}