GET /api/v0.1/hansard/entries/883656/?format=api
HTTP 200 OK
Allow: GET, PUT, PATCH, DELETE, HEAD, OPTIONS
Content-Type: application/json
Vary: Accept

{
    "id": 883656,
    "url": "https://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/883656/?format=api",
    "text_counter": 485,
    "type": "speech",
    "speaker_name": "Sen. Faki",
    "speaker_title": "",
    "speaker": {
        "id": 13211,
        "legal_name": "Mohamed Faki Mwinyihaji",
        "slug": "mohamed-faki-mwinyihaji-2"
    },
    "content": "Vile vile, sheria hii inasema kwamba kama kunatengenezwa kanuni fulani kuhusiana na swala fulani; kwa mfano, iwapo wanatengeneza kanuni kuhusiana na swala la kahawa, kanuni zile zitahusika na kahawa peke yake na hazitatumika kudhibiti maswala ya boda boda ama mambo mengine ambayo yanaweza kutokea. Kwa hivyo kila kanuni itakayotengezwa inahusisha sehemu fulani tu ya lile swala ambalo linadhibitiwa. The electronic version of the Senate Hansard Report is for information purposesonly. A certified version of this Report can be obtained from the Hansard Editor, Senate."
}