GET /api/v0.1/hansard/entries/883657/?format=api
HTTP 200 OK
Allow: GET, PUT, PATCH, DELETE, HEAD, OPTIONS
Content-Type: application/json
Vary: Accept
{
"id": 883657,
"url": "https://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/883657/?format=api",
"text_counter": 486,
"type": "speech",
"speaker_name": "Sen. Faki",
"speaker_title": "",
"speaker": {
"id": 13211,
"legal_name": "Mohamed Faki Mwinyihaji",
"slug": "mohamed-faki-mwinyihaji-2"
},
"content": "Bi. Spika wa Muda, kusema ukweli Mswada huu umekuja wakati mwafaka, na ni lazima tuunge mkono kwa sababu ni njia moja ya kusaidia serikali za kaunti kuweza kupata mapato ya kusaidia kuendesha kazi zao. Vile vile, kanuni ambazo zitaleta maswala ya kifedha – yaani zinazipa serikali za kaunti fursa ya kukusanya kodi – ni lazima ziwe na kodi maalum; kodi ya chini na juu. Kwa Kizungu yaani ni minimum na"
}