GET /api/v0.1/hansard/entries/883659/?format=api
HTTP 200 OK
Allow: GET, PUT, PATCH, DELETE, HEAD, OPTIONS
Content-Type: application/json
Vary: Accept

{
    "id": 883659,
    "url": "https://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/883659/?format=api",
    "text_counter": 488,
    "type": "speech",
    "speaker_name": "Sen. Faki",
    "speaker_title": "",
    "speaker": {
        "id": 13211,
        "legal_name": "Mohamed Faki Mwinyihaji",
        "slug": "mohamed-faki-mwinyihaji-2"
    },
    "content": "charges ambazo zitakuwa zinalipishwa. Kwa hivyo, Bi. Spika wa Muda, Mswada huu ni mzuri sana, na umeletwa wakati mwafaka ambapo mabunge mengi ya kaunti hayana sheria kama hii. Nawaomba ndugu zangu, Maseneta wote, waunge mkono Mswada huu kwa sababu utaleta manufaa Zaidi kwa serikali zetu za kaunti."
}