GET /api/v0.1/hansard/entries/885158/?format=api
HTTP 200 OK
Allow: GET, PUT, PATCH, DELETE, HEAD, OPTIONS
Content-Type: application/json
Vary: Accept
{
"id": 885158,
"url": "https://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/885158/?format=api",
"text_counter": 164,
"type": "speech",
"speaker_name": "Sen. Faki",
"speaker_title": "",
"speaker": {
"id": 13211,
"legal_name": "Mohamed Faki Mwinyihaji",
"slug": "mohamed-faki-mwinyihaji-2"
},
"content": "Asante, Bw. Naibu Spika, kwa kunipa fursa hii ya kuwakaribisha wanafunzi kutoka Kaunti ya Makueni. Hii ni fursa nzuri ya wanafunzi kama hawa kututembelea na kuona vile wawakilishi wao wanavyofanya kazi, hasa mwakilishi wao, Sen. Mutula Kilonzo Jnr. Twawatakia kila la kheri katika muda ambao watakuwa hapa. Wakirudi nyumbani, wa-aspire for bigger things."
}