GET /api/v0.1/hansard/entries/885169/?format=api
HTTP 200 OK
Allow: GET, PUT, PATCH, DELETE, HEAD, OPTIONS
Content-Type: application/json
Vary: Accept

{
    "id": 885169,
    "url": "https://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/885169/?format=api",
    "text_counter": 175,
    "type": "speech",
    "speaker_name": "Sen. Madzayo",
    "speaker_title": "",
    "speaker": {
        "id": 679,
        "legal_name": "Stewart Mwachiru Shadrack Madzayo",
        "slug": "stewart-mwachiru-shadrack-madzayo"
    },
    "content": "kutumia neno ambalo sio sahihi. Sio haki kwake kusema maneno haya ni sawa mbele ya wanafunzi kutoka Kaunti ya Makueni, ambao Seneta wao yuko hapa, na amesifiwa kwa kuvaa vizuri. Haya maneno mawili ni tofauti kabaisa. Mfano hawa watoto wa Kaunti ya Makueni watakaouiga ni wa Sen. Mutula Kilonzo Jnr., Seneta wa Makueni."
}